Habari za Punde

Jumuiya ya Muzdalifa yakabidhi misaada kambi ya wahanga wa mafuriko Skuli ya Mwanakwerekwe C

 Mwenyekiti wa taasisi ya Muzdalifa Sheikh Abdalla Hadhar Abdalla akimkabidhi Mchele Afisa msaidizi wa kambi ya wahanga wa mafuriko Makame Khatibu Makame iliopo Skuli ya Mwanakwerekwe C Mjini Zanzibar.
 Afisa msaidizi wa Kambi ya Mafuriko iliyopo Skuli ya Mwanakwerekwe C  Makame Khatib Makame, akitoa shukrani kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Muzidalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla kwa msaada waliowatia.

 Baadhi ya Misaada mbalimbali iliyotolewa na Taasisi ya Muzdalifa.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Muzdalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla akimkabidhi Box la dawa Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhili Moh’d, katika Kambi ya kipindupindu iliopo Mtaa wa Chumbuni Zanzibar.


 Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhil Moh’d, akitoa shukurani kwa msaada waliopatiwa na Taasisi ya Muzdalifa
Baadhi ya vifaa na Madawa mbalimbali yaliyotolewa. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.