Habari za Punde

Makabidhiano Ofisi ya Baraza la Wawakilishi kwa Katibu Mpya

Katibu Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dk Yahya Khamis Hamad, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mpya Mhe Raya Issa Mselem.
Katibu Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dk Yahya Khamis Hamad akimkabidhi nyaraka za Ofisi Katibu Mpya wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Raya Issa Mselem, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi B Unguja.
 Katibu Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dk Yahya Khamis Hamad, akimkabidhi Kanuni ya Baraza la Wawakilishi Katibu Mpya Mhe Raya Issa Mselemu, makabidhiano hayo yamefanyika katika jengo la Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi B Unguja.  
 Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Raya Issa Mselem akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya Ofisi hiyo na Katibu wa Baraza Mstaaaf Dk Yahya Khamis Hamad, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Ukumbi Mdogo wa Baraza Chukwani Wilaya ya Magharibi B Unguja. 
Wakuu wa Idara za Ofisi za Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Makabidhiano ya Ofisi kwa Katibu Mpya wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Wakuu wa Idara za Ofisi za Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Makabidhiano ya Ofisi kwa Katibu Mpya wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Chukwani. Wilaya ya Magharibi B Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.