Habari za Punde

Mwenge wa Uhuru wawasili kisiwani Pemba
Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga huko katika Kiwanja cha ndege cha Karume Pemba, kuanza mbio zake katika Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba .

Picha na Bakar Mussa - Pemba.

1 comment:

  1. kitu hichi tu ndo serekali ya muungano haioni tabu kushere na Zanzibar,lakini baada ya mwenge sijaona kitu chengine kinokuja znz kutoka tzb

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.