Habari za Punde

Sukari iliyomalizika muda wake wa matumizi yakamatwa Pemba


 Sukari ambayo imekamatwa katika ghala la mfanyabiashara, Moh'd Ali Aboud (Munawwar) huko Chake Chake, ikiwa imemaliza muda wake wa matumizi ya Binaadamu na Wafanyakazi wa Wizara ya Biashara Viwanda na masoko Pemba.
 Ofisa kutoka Wizara ya Biashara Viwanda na masoko Pemba, Ali Suleiman Abeid, akizungumza mbele ya Waandishi wa habari na mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba juu ya kukamatwa kwa tani zaidi ya 10 za Sukari huko Chake Chake  Pemba.


Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mheshimiwa Omar Khamis Othman, akizungumza mbele ya Waandishi wa habari na maafisa wa Wizara ya biashara Viwanda na masoko Pemba , juu ya kukamatwa kwa sukari iliomaliza muda wake wa matumizi ya binaadamu.


Picha na Habiba Zarali -Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.