Habari za Punde

PBZ Yaisapoti Timu ya Miembeni kwa Kuikabidhi Vifaa vya Michezo Kuweza Kushiriki Vizuri Katika Ligi Kuu ya Zanzibar.

Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Mussa Mvita akizungumza na waandishi wa habari za michezo Zanzibar wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya michezo kwa Timu Kongwe Zanzibar Miembeni ikiwa ni hatua ya PBZ kuidhamini Timu hiyo katika kushiriki michuoni ya Ligi Kuu ya Zanzibar ikiwa ukingozi kumalizika. Pbz itakuwa ni mdhamini wa timu hiyo kuweza kushiriki vizuri katika michuano mbalimbali inayoshiriki timu hiyo, makabidhiano hayo yamefanyika katika Jengo la Makao Makuu ya PBZ darajani Mjini Zanzibar.kushoto Kocha Mkuu wa Miembeni Saleh Machupa na kulia Kocha Msaidizi wa Miembeni Omar Kigani.
Menaja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Mussa Mvita, akimkabidhi Jezi Kocha Mkuu wa Timu ya Miembeni Zanzibar Saleh Machupa, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Jengo la Afisi za PBZ Darajani Zanzibar.  
Menaja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Mussa Mvita akimkabidhi Jezi Kocha Mkuu wa Timu ya Miembeni Zanzibar Saleh Machupa, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Jengo la Afisi za PBZ Darajani Zanzibar.  
Menaja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Mussa Mvita, akimkabidhi mipira na viatu Kocha Mkuu wa Timu ya Miembeni Zanzibar Saleh Machupa, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Jengo la Afisi za PBZ Darajani Zanzibar.  
Menaja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Ndg. Mussa Mvita, akikabidhi seti ya soksi kwa Kocha Mkuu wa Timu ya Miembeni Zanzibar Saleh Machupa, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Jengo la Afisi za PBZ Darajani Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.