Habari za Punde

Semina kuhusu sheria ya karafuu yafanyika kisiwani Pemba
Ofisa mdhamini Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC) Pemba, Abdalla Ali Ussi, akizungumza jambo kwa Wadau wa Karafuu Kisiwani Pemba katika Semina ya Sheria ya karafuu namba 2 ya mwaka 2014 , huko katika Kiwanda cha mafuta ya makonyo wawi Kisiwani humo.


Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akifungua Semina juu ya Sheria za Karafuu namba 2 ya mwaka 2014 kwa mahakimu, Waendesha mashtaka , na Polisi , huko katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo, Wawi.
Picha na bakar mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.