Habari za Punde

ZLSC yafanya mafunzo ya Haki za binadamu kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari mkoa wa kusini Pemba

 Mratibu wa kituo cha huduma za Sheria Pemba, Fatma Khamis Hemed , akitowa mafunzo ya Haki za binadamu kwa Wanafunzi wa Skuli za Sekondari mkoa wa kusini Pemba, huko katika ukumbi wa kituo hicho Chake chake -Pemba.

Mratibu wa Uendeshaji na Utumishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Pemba, Mussa Khamis Mussa, akifungua mafunzo ya Haki za binaadamu kwa Wanafunzi wa sekondari mkoa wa Kusini Pemba, yalio tayarishwa na kituo cha huduma za Sheria kisiwani humo.

Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.