Habari za Punde

Sherehe za Kuapishwa Rais Mpya COMORO

 Makamo wa Rais wa Muungano wa Comoro Mhe,Jafar Ahmada Sais wa kisiwa cha Ngazija akiapishwa leo na Jaji wa mahakama ya katiba ya Nchi hiyo Mhe,Loutfi Soulaimane (hayupo pichani ) wakati wa sherehe za kuapishwa Rais kanali Azali na makamo wake 3 iliyofanyika leo baada ya ushindi wa uchaguzi Mkuu uliofanyika Aprili 10 na   marudio ya uchaguzi huo uliofanyika mwezi mei 11 mwaka huu,hafla ilifanyika uwanja wa mpira mjini Ngazija leo.
Rais Mstaafu wa Muungano wa Comoro Mhe,Dkt.Ikililou Dhoinine (kulia) akiwa na Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri (wa pili kulia) mara baada ya kuapishwa  akiwa na Makamo wake wawili Mhe,Abdullah Said Sharman (kushoto) wa Kisiwa cha Mwali na Mhe,Mustarigan Aboud wa Kisiwa cha Anjouan (wa pili kushoto) katika uwanja wa mpira mjini Ngazija nchini Comoro leo,
Rais Mstaafu wa Muungano wa Comoro Mhe,Dkt.Ikililou Dhoinine (kulia) akiwa katikapicha na Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri  mara baada ya kuapishwa  leo baada ya kushinda uchaguzi Mkuu wa April kumi(10) na uchaguzi wa marudio wa mei kumi na moja mwaka huu hafla ilifanyika leo uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro
Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri  akitoa salamu kwa kikosi cha Bendera mara baada ya kuapishwa leo akiwa mshindi katika   kushinda uchaguzi Mkuu wa April kumi(10) na uchaguzi wa marudio wa mei kumi na moja mwaka huu hafla ilifanyika leo uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro
Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi Comoro  mara baada ya kuapishwa  leo kwa kushinda uchaguzi mkuu wa April 10 na uchaguzi wa Marudio wa Mei 11 mwaka huu  hafla ilifanyika leo uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro
Vikosi vya majeshi ya Ulinzi vya  Comoro vikitoa heshama kwa  Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri aliyeapishwa leo na jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Mhe,Loutfi Soulaimane katika sherehe zilizofanyila uwanja wa mpira Mjini Ngazija nchini Comoro
Baadhi ya Viongozi na Wageni mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri    baada ya   kushinda uchaguzi Mkuu wa April kumi(10) na uchaguzi wa marudio wa mei kumi na moja (11)mwaka huu hafla ilifanyika leo uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro
Baadhi ya Akina mama wa waliojitokeza kushiriki katika sherhe za kuapishwa Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri aliyeapishwa leo kufuatia kushinda Uchaguzi Mkuu uliofanyika April Kumi (10) na uchaguzi wa marudio uliofanyika mey 11 mwaka huu,hafla ya sherehe zilifanyika uwanja wa mpira Mjini Ngazija nchini Comoro leo
Rais Mpya wa Muungano wa Comoro Mhe, Kanali Azali Assoumani  Boinakheri akitoa hutuba yake katika sherehe za kuapishwazilizofanyika  leo kufuatia kushinda Uchaguzi Mkuu uliofanyika April Kumi (10) na uchaguzi wa marudio uliofanyika mey 11 mwaka huu,hafla ya sherehe ilifanyika uwanja wa mpira Mjini Ngazija nchini Comoro, leo 26-5-2016.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.