Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

Mafundi wakijenga Ukuta  Maalum unaoendelea kujengwa na mafundi, kwa ajili ya kuzuilia mmong’onyoko wa ardhi, kwenye barabara ya Bahanasa- Mtambwe wilaya ya Wete Pemba, barabara hiyo ilijengwa na kampuni ya H-Yuong
Mafundi wakijenga Ukuta maalum unaoendelea kujengwa na mafundi, kwa ajili ya kuzuilia mmong’onyoko wa ardhi, kwenye barabara ya Bahanasa- Mtambwe wilaya ya Wete Pemba, barabara hiyo ilijengwa na kampuni ya H-Yuong
Eneo la barabara ya Bahanasa- Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba, likiwa limefanyiwa matengenezo kwa kutumia saruji na nondo, baada ya ujenzi wake wa awali uliotumia lami kupasuka, kutokana na mmomonyoko wa ardh ya eneo hilo kiasia cha mita 300, kwenye barabara hiyo

Baada ya Serikali ya Wilaya ya Wete kukemea vitendo vya baadhi ya Wananchi kuwabagua wananchi wengine katika vyombo vya usafiri katika bandari ya Wete Pemba, hali hiyi kwa sasa imerudia kwa kiasa kutowa huduma hiyo kwa Wananchi wote kupata usafiri huo kutoa huduma hiyo kati eneo la bandari ya Wete na Mtambwe. kama inavyooneka moja ya dau likitowa huduma kwenda kijijini huko
(Picha na Haji Mohammed Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.