MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, June 12, 2016

Mjasiriamali wa Akiwa Kazi Magomeni Zenj.

Kijana Mjasiriamali akiwa kazi katika kazi yake ya Ufundi wa TV katika mtaa wa Magomeni Jitini  akitengeneza TV, Vijana wajitahidi katika kazi za mikono za ufundi wa vyombo mbali mbali ili kujipatia ajira na kupata mafunzoi ya kazi hiyo.