Habari za Punde

Ajali ya Moto Kijiji cha Kiwani Pemba.

Mkuu wa Wilaya ya Mkoani akiwasili katika Kijiji cha Kiwani kuwafariji Wananchi waliopata janga la kuunguliwa na Moto Nyumba zao juzi na kuwasababishia hasara kwa kuunguliwa na vitu vyao.
Baadhi ya Nyumba zilizoteketea kwa moto katika kijiji cha Kiwani Pemba juzi. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.