Habari za Punde

Semina ya utoaji elimu ya mtangamano wa Afrika Mashariki na Diaspora

Mkurugenzi wa  Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na uratibu wa Wazaznibar waishio nje ya Nchi , Adila Hilal Vuai, akifunga Semina ya siku mbili kwa maafisa mbali mbali wa Serikali na Taasisi za Umma na Wajasiriamali, juu ya elimu ya mtangamano wa Afrika Mashariki na Diaspora huko katika Skuli ya Sekondari Madungu Kisiwani Pemba.
Mshiriki wa mafunzo ya elimu ya ya mtangamano wa  Afrika Mashariki na Diaspora  Kisiwani Pemba, Mattar Zahor Mattar, akitowa shukrani kwa Watendaji wa Idara hiyo kwa kutowa Elimu kama hiyo .
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Diaspora wakimsikiliza kwa makini mkurugenzi wa Idara hiyo , Adila Hilal Vuai, wakati akifunga mafunzo hayo.(Picha na Bakar Mussa-Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.