Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed, akiwa katika uzinduzi wa mafunzo ya ujasiri amali katika
sakosi ya jimbo la Fuoni, wanasakosi hao walikuwa na uzalishaji wa sabuni dawa
za kutolea madoa , majani ya yachi, jam ya tomato, unga wa uji, dettol ya
asali,
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed, akikagua baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa
na Sakosi ya Jimbo la Fuoni ambapo alikuwa mgeni rasmi
katika mafunzo ya Sakosi hiyo,
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub
Mohammed,akizungumza na wanasakosi wa jimbo la Fuoni
wakati alipozindua mafunzio ya sakosi hiyo
No comments:
Post a Comment