Wanafunzi wa Madrasa za Qur'aan , ambazo ziko chini ya taasisi ya Samael katika Wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba wakifanya mitihani ya Somo la Kiarabu kwa lengo la klujifunza lugha hiyo itakayowasaidia kuelewa vyema Dini ya Kiislamu.
Picha na Bakar Mussa, Pemba
No comments:
Post a Comment