Habari za Punde

Mwakilishi wa Fuoni Awataka Wananchi Wake Kuyatumia Vizuri Mafunzo Yanayopata.

Mwakilishi wa Jimbo la Fuoni Zanzibar Mhe Yussuf Hassan Iddi, akitowa neno la shukrani kwa Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo kwa Wajasiriamali Wadogowadogo yalioandaliwa na Jimbo hilo kwa Wananchi hao kuweza kujipatia Uwezo wa biashara zao.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B, akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo kwa Wajasiriamali wa Saccos ya Fuoni Kibondeni Unguja.,
Mkufunzi wa Mafunzo ya Wajasiriamali wa Jimbo la Fuoni Kibondeni Ndg Ezekel Kadir akitowa mafunzo hayo kwa Wajasiriamali hao yaliofanyika katika Ukumbi wa Tawi la CCM Fuoni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.