Monday, June 6, 2016

Waziri Makamba Akutana na Ujumbe wa Benki ya Dunia.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea na ujumbe toka Benki ya Dunia uliomtembelea Ofisini kwake kuzungumza kuhusu masuala ya mazingira Nchini.(Picha na OMR)