Habari za Punde

Waziri wa Habari Utalii Afungua Hoteli ya Kitalii Pongwe.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma, akikata utepe kuashiria kuifungua Hoteli ya Kitalii ya White Paradise Pongwe Wilaya ya Kati Unguja. 
Mkurugenzi Uwezeshaji na Maendeleo ya Miradi ZIPA Zanzibar Ndg Sharif Ali, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Hoteli hiyo ya Kitalii katika Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Kati Unguja.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma akihutubia wakati wa ufunguzi wa hoteli hiyo ya Kitalii katika Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Kati Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.