Asalaam aleykum warahmatullah wabarakat
An Noor Community Centre Leicester inawajulisha waislamu wote kuwa sala ya Eid l fitr itasaliwa saa mbili na nusu asubuhi (08.30am) hapo Masjid An Noor Leicester. Sala hiyo itakuwa kwa waumini wote wa kiislamu kike kwa kiume.
Address : 170a Belgrave gate
Leicester
LE1 3XL
Baada ya sala kutakuwa na kifungua kinywa kwa waumini wote hapo hapo Masjid An Noor.
Shukran
No comments:
Post a Comment