Habari za Punde

Vijana wa Jumuiya ya Kojani Wafanya Usafi wa Mazingira Ufukwe wa Pwani hiyo.

Mtoa mada ya usafi wa mazingira (katikati mwenye miwani) Bakar Hamad Bakari akiwaeleza wananchi wa kisiwa cha Kojani wilaya ya Wete Pemba, jinsi ya umuhimu wa kutenganisha taka ngumu na laini, baada ya wananchi hao kupewa mafunzo ya usafi wa mazingira kupitia jumuia ya vijana Jimbo la Kojani KOYMOCC,
Katibu wa Jumuia ya Vijana  Jimbo la Kojani ‘KOYMOCC’ wilaya ya wete Pemba, Bakar Suleiman Juma, akielezea mafanikio ya mradi wa usafi wa mazingira, uliokuwa chini ya KOYMOCC, ambapo umekiimarisha kiusafi kisiwa cha Kojani, sambamba na kuwapa elimu hiyo wananchi zaidi ya 700 wa shehia za Kojani na Mpambani, 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.