Habari za Punde

Baraza la Eid El Fitr Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar

Wageni waalikwa wakiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar kuhudhuria Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari kuhudhuria Baraza la Eid El Fitr akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayuob Mohammed Mahmoud.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari kuhudhuria Baraza la Eid El Fitry akisalimiana na Waziri wa Katiba, Mhe Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja hivyo.
Makamu wa Rais Mstaafu,  Dk Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na mwenyeji wa shughuli hiyo ya Baraza la Eid El Fitry Mhe Haruon Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar. 
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Sheria Mhe Haroun Ali Suleiman. alipowasili katika viwanja vya Wizara ya Habari kikwajuni kuhudhuria Baraza la Eid El Fitr.  
Msafara wa Mapikipiki wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ukiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo kuhudhuria Baraza la Eid El Fitry. Kitaifa limefanyika Zanzibar katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamzni Kikwajuni Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Wizara ya Habari kuhudhuria Baraza la Eid El Fitr
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Katiba Mhe. Haruon Ali Suleiman mwenyeji wa Hafla hiyo ya Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayuob Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya Wizara ya Habari kikwajuni kuhudhuria Baraza la Eid El Fitry.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea saluti ya gwaride maalum la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid El Fitry katika viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Askari wa Kikosi cha FFU wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Mshereheshaji katika hafla ya Baraza la Eid Shekh. Noman Jongo akitowa ratiba ya hafla hiyo.
Viongozi wa meza kuu wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Eid El Fitry, wakisikiliza maelezo ya hafla hiyo,iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar 
Viongozi na Wananchi mbalimbali kisiwani Zanzibar wakihudhuria Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar. 
Ust. Shaban Ali kutoka Madrasatul Kamaria, Kibanda Maiti Unguja akisoma Qur-an wakati wa ufunguzi wa hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar. 
Viongozi na Wananchi mbalimbali kutoka Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Eid El Fitry. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe, Haroun Ali Suleiman akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin kulihutubia Baraza la Eid El Fitry Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akilihutubia Baraza la Eid El Fitry katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Mfngo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Viongozi wa Serikali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ali Mohamed Shein. wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa Zamani Kikwajuni Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia hutuba ya Baraza a Eid El Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akilihutubia. 
Wananchi wakifuatilia hutuba ya Baraza a Eid El Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akilihutubia. 

Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya hutuba ya Baraza la Eid El Fitry iliosomwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
Viongozi wa Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar.
Viongozi wa Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akifurahia jambo na aliyekuwa Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Bi Shawana Buheti. wakiwa katika viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mbunge wa Vitimaalum Mhe Asha Abdalla Juma wakiwa katika viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Wizara ya Habari Zanzibar wakihudhuria Baraza la Eid El Fitry.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Spika Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Spika Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho.
Makamu wa Rais Mstaaf Dk Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Eng Hamad Masauni kulia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Spika Mstaaf wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mama Fatma Karume wakati wa hafla ya Baraza la Eid El Fitry lililofanyika katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi waliohudhuria hafla ya Baraza la Eid El Fitry katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni Zanzibar.

1 comment:

  1. Najaribu kumuangaza Balozi lakini simuoni vipi kuana alie na khabari zake?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.