Sunday, July 31, 2016

Bomoa Bomoa Darajani Maduka ya Kontena Umeaza Jana na Kumalizika leo kwa Wafanya Biashara wa Eneo hilo kubomoa Makontena yao Kupisha Matumizi Mengine ya Eneo hilo.