Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na Afisa
Uhusiano wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Edna John wakati alipotembelea
ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Mtendaji
Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) kuhusu maendeleo ya ujenzi wa
mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa
Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga wakati alipokagua ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo
la Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa
Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga wakati alipokagua ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo
la Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua baadhi ya
miundombinu iliyopo katika mradi wa ujenzi wa nyumba za wafanyakazi zilizopo
Bunju B jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na ukaguzi
wa ujenzi wa mradi wa nyumba za wafanyakazi eneo la Bunju B jijini Dar es
salaam.
Meneja Mradi kutoka Wakala wa Majengo Tanzania
Arch.Humphrey Killo akifafanua mchoro wa ramani ya ujenzi wa Mabweni ya
wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam katika barabara ya Sam Nujoma,wa
kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius
Mwakalinga
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa
Mtendaji Mkuu wa wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.Elius Mwakalinga wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa
Mabweni ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment