Habari za Punde

Maonesho ya Filamu katika Tamasha la Nchi za Jahazi ZIFF Ndani ya Ngome Kongwe Zanzibar na Kutambulishwa Wanasii wa Tanzania Wanaowania Tuzo za Filamu Bora ya Kibongo.


 Singo Mtambalike akitomaelezo ya Filamu yao ya Queen of Masaii iliooneshwa muda mfupi ikiwania Tunzo ya Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF, 
Msanii wa Bongo Filam Gabo akitowa maelezo ya filamu yao ya Queen of Masaii ilioneshwa mudu huu baada ya kumaliza kuoneshwa ambayo inawania Tunzo ya Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF.
 Msanii wa filamu Zanzibar akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe wakifuatilia filamu zao zinazowania tunzo ya tamasha la nchi za jahazi ZIFF usiku huu katika viwanja vya ngome kongwe zenj.Muongoza Filamu Zanzibar Chande Omar akitowa maelezo ya Filamu yake ya Aisha usiku huu ikiwa moja ya filamu zinazowania Tunzo ya Ziff. ikioneshwa usiku huu akiwa na Wasanii wanaowania Tunzo ya filamu bora katika tamasha la nchi za jahazi zanzibar wakitambulishwa wakati wa kuoneshwa filamu zao katika jukwaa la filami la ZIFF Ngome Kongwe Zanzibar usiku huu likiendelea na kuoneshwa filamu za kiswahili za watunzi wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.