Habari za Punde

Usiku wa Bi Kidude Tamasha la Nchi za Jahazi ZIFF Ndani ya Mambo Club Ngome Kongwe Zanzibar.


DJ SanuRa From USA Sandani ya nyumba Mambo Club Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF akifanya vitu vyake kwa wapenzi wa muziki wa Disco kabla ya kupanda msanii Sanura jukwaani kutowa burudani kwa wapenzi wa muziki wake wa Bongo Flava, 

Masinii Sanura akichati kabla ya kuaza kwa show yake katika Jukwaa la ZIFF Ngome Kongwe Zenj. 
Msanii Sanura akilishambulia Jukwaa la ZIFF wakati wa onesho lake katika Ukumbi wa Mambo Club Ngome Kongwe Zenj na kutowa burudani kwa wapenzi wake wa Zenj katika onesho hilo.
Msanii wa Zenj Flava Baby J akiwa katika jukwaa la ZIFF Zanzibar akitowa burudani katika viwanja vya Mambo Club Ngome Kongwe usiku wa Bi Kidude No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.