MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, July 6, 2016

Sala ya Eid Al-Fitr 2016 Coventry, Uingereza
Waumini wa Kiislam wakiwa katika Sala Eid al-Fitr iliosaliwa  leo asubuhi ya Siku ya Jumatano July 6, 2016 kwenye ukumbi wa  Moat House. Bell green. Coventry Nchini Uingereza 

Baadhi ya waumini waishio jijini   Coventry wakipata hotuba ya  Sala Eid al-Fitr iliosaliwa  Siku ya Jumatano July 6, 2016 kwenye ukumbi wa  Moat House. Bell green. Coventry Nchini Uingereza 

Waumini wa Kiislam wakiwa katika Sala Eid al-Fitr iliosaliwa  leo asubuhi ya Siku ya Jumatano July 6, 2016 kwenye ukumbi wa  Moat House. Bell green. Coventry Nchini Uingereza 
Pia Conventry Muslim Swahili Association, iliopo nchini Ungereza, inawakaribisha katika Sherehe za Eid al-Fitr, maelezo zaifi fuatilia maelezo ya Picha iliopo chini