Habari za Punde

Ujenzi wa Mabanda ya Biashara katika Viwanja vya Sikukuu Mnazi Mmoja Yakamilika Ujenzi wake Uliosimamiwa na Baraza la Manispa Zanzibar.

 Utaratibu uliowekwa na Baraza la Manispa Zanzibar ujenzi wa mashamiana kwa ajili ya Wafanyabiashara katika viwanja vya sikuku vya mnazi mmoja yamekamilika ujenzi wake huo na kusubiri wahusika kukodishwa kwa ajili ya biashara wakati wa Sikukuu ya Eid Fitry inayotegemewa kusherehekewa wiki ijayo baada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kumalizika na kuungana nma Waumini wa Dini ya Kiislam duniani kote kusherehekea sikuku hiyo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.