Habari za Punde

Wananchi wa Visiwa vya Zanzibar Wakiwa katika Harakati za Maandalizi ya Sikukuu Katika Soko la Mwanakwerekwe Unguja2 comments:

  1. Hili ndio soko kuu kwa sasa hapa Zanzibar, ingependeza kama wahusika wa soko wakaboresha mandhar ya ndani ya Hilo soko kwa angalau kuundosha maturubali ya ovyo Ovyo na kuweka mfano wa mashamiana ya kufahamika na yenye hadhi inayoendanda na soko kuu.

    ReplyDelete
  2. Maskini zanzibar mambo yote ni shaghalabaghala tu, hatuna mji hatuna soko, mambo yako ovyo ovyo tu, soko kuu hakutambulikani, halina hadhi hasa ya soko kuu, bidhaa, matunda na vyakula vyengine vinauzwa Chini kabisa, halafu tunafuta mchawi wa kipindupindu, jamani hebu tubadikeni kidogo, twende kama angalau majirani zetu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.