MBEKI AWAASA VIONGOZI WA AFRIKA KUWA WAZALENDO KATIKA KULINDA MASLAHI YA
BARA LAO
-
Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mheshimiwa Thabo Mbeki, amewahimiza viongozi
wa Bara la Afrika kuwa wakweli na waaminifu katika kulinda maslahi ya bara
lao,...
2 hours ago
Hili ndio soko kuu kwa sasa hapa Zanzibar, ingependeza kama wahusika wa soko wakaboresha mandhar ya ndani ya Hilo soko kwa angalau kuundosha maturubali ya ovyo Ovyo na kuweka mfano wa mashamiana ya kufahamika na yenye hadhi inayoendanda na soko kuu.
ReplyDeleteMaskini zanzibar mambo yote ni shaghalabaghala tu, hatuna mji hatuna soko, mambo yako ovyo ovyo tu, soko kuu hakutambulikani, halina hadhi hasa ya soko kuu, bidhaa, matunda na vyakula vyengine vinauzwa Chini kabisa, halafu tunafuta mchawi wa kipindupindu, jamani hebu tubadikeni kidogo, twende kama angalau majirani zetu.
ReplyDelete