Habari za Punde

Waziri wa Afya atoa sikukuu kwa viongozi wa jimbo la Kkiembesamaki

 Waziri wa Afya Zanzibar, Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na viongozi wa Jimbo la Kiembe Samaki jana Julai 5 kabla ya kuwapa pesa kwaajili ya sikukuu hafla hiyo imefanyika katika tawi la CCM Kiembe samaki Mjini Zanzibar.
 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi fedha katibu wa wadi ya Kiembe samaki Bi. Zainab Ali Suleiman. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.