Habari za Punde

Kamati ya Ulinzi na Usalama Chake yakagua mtaro wa maji machafu

 Mtaalamu wa Mazingira kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Abuu Jafar, akitowa maelezo kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake, Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo juu ya mtaro huo unavyotakiwa usafishwe 

  Mtaalamu wa Mazingira kutoka Idara ya Mazingira Pemba, Abuu Jafar, akitowa maelezo kwa mkuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo juu ya mtaro huo unavyotakiwa usafishwe 
 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake , Salama Mbarouk Khatib, na Kamati ya ulinzi ya Usalama ya Wilaya hiyo wakiangalia eneo la mtaro linalohitajika kusafishwa
 Maji machafu ambayo hayana udhibiti , yanayotoka katika maeneo ya makaazi ya Wananchi wa Kichungwani na kutiririka hadi kwenye mtaro mkuu , jambo ambalo linaweza kuleta athari ya kiafya hapo baadae.

 Maji machafu ambayo hayana udhibiti , yanayotoka katika maeneo ya makaazi ya Wananchi wa Kichungwani na kutiririka hadi kwenye mtaro mkuu , jambo ambalo linaweza kuleta athari ya kiafya hapo baadae.

Picha zote na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.