Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Mitaro ya Kupitishia Maji katika Mitaa Ukiendelea na Ujenzi Wake.

Kijicho cha Kampuni ya Kichina inayojenda Mitaro ya kupitishia Maji katika maeneo mbali mbali ya Zanzibar ikiendelea na mradi huo kwa ujenzi wa mtaro huo katika eneo la chumbuni Zanzibar wakichimba barabara kwa ajili ya kupitisha mabomba makubwa ya kupitishia maji kutoka maeneo ya welezo kuelekea eneo la mtaro uaokwenda katika bahari ya maruhubi. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.