Habari za Punde

Naibu Waziri, Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora atao Taarifa ya mgao wa tatu wa Mirabaha

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Hakimiliki Zanzibar Bi. Mtumwa Khatib Ameir akimkaribisha Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Mwalim kwenye Mkutano na wandishi wa Habari juu ya taarifa ya mgao wa tatu wa Mirabaha uliofanyika Ofisi ya Wizara Mazizini Mjini Zanzibar.  
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Mwalim akitoa taarifa ya mgao wa tatu wa Mirabaha inayotolewa na Ofisi ya Hakimiliki kwa wasani na  wabunifu kutokana na watumiaji wa  sanaa hizo.
 Mwandishi wa habari wa Star Tv Abdallah Pandu akiuliza swali kwa Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma (hayupo pichani) katika Mkutano na wandishi wa Habari juu ya taarifa ya mgao wa tatu wa Mirabaha inayokusanywa na Ofisi ya Hakimiliki Zanzibar
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Mwalim akijibu maswali ya waandishi wa Habari.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.