Habari za Punde

Sherehe ya Kumpongeza Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "B'' Ambae kwa Sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi na Kuwaaga Wafanyakazi Wastaafu wa Wilaya Hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” (kulia) Silima Haji Haji akimkaribisha Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katika sherehe ya kumpongeza kuchaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mkuu wa Wiliya Mjini Bi. Marina Joel Thomas (katikati) aliekuwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Sehemu ya walikwa katika sherehe ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mjini Ayoub Mohammed Mahmoud na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu.
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” (kulia) Silima Haji Haji akiwakaribisha walikwa kwenye sherehe ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mjini na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akizunguza na wafanyakazi wa Wilaya ya Magharibi “B” na walikwa katika sherehe ya kumpongeza na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu iliyofanyika viwanja vya Skuli ya Urafiki Wilaya ya Magharibi “B”.
Aliekuwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis akitoa neno la shukrani katika hafla hiyo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.