Habari za Punde

SIGHTSAVERES NA IDARA YA AFYA MKOA WA LINDI WATOA HUDUMA YA MACHO BURE KWA WANANCHI MKOANI LINDI WAKATI WA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA KUSINI 2016.


Mratibu wa Huduma za Macho Mkoa wa Lindi Dk.Mwita Machage akimpima mgonjwa wa macho wakati wa sikukuu ya Nane Nane katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi leo.Huduma hii ya upimaji wa macho imefadhiriwa kwa ushirikiano wa shirika lisilo la kiserikali la Sightsavers Tanzania na sekretarieti ya mkoa wa Lindi Idara ya afya mkoa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.