Habari za Punde

Soko la Samaki Malindi Funguni Unguja

 Wachuuzi wa Samaki katika manispa ya Zanzibar wakiwa katika pwani ya Malindi wakisubiri wavuvi kurudi bahari ili kupata samaki katika mnada wa soko hilo, ndoo moja ya dagaa osha osha iliuzwa kati ya shilingi 7000/= katika mnada huo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.