Habari za Punde

Spika wa BLW ziarani Mauritius, akutana na Meya wa Port Louis

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  mheshimiwa Zubeir Ali Maulid (wa kwanza kushoto)  akibadilishana mawazo na Meya wa Mji wa Port Lois nchini Mauritius,  Bwana B.Oumar Kholeegan (katikati), kulia ni mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar, Mheshimiwa Simai Mohammed Said  (Mpakabasi). Mheshimiwa Spika Zubeir yuko nchini Mauritius kuhudhuria Mkutano wa 47 wa  Umoja wa  Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kanda ya Afirika (CPA African Region).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.