Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Atembelea Maktaba ya Wete Pemba

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma akitembelea Maktaba ya Wilaya ya Wete Pemba wakati wa ziara yake Kisiwani Pembe kutembelea miradi ya Wizara ya Elimu Pemba. akiangalia vitabu vilioko katika maktaba hiyo akiwa na wafanyakazi wa kituo hicho.  
Waziri wa Elimu Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma akimsikiliza mwanafunzi akijisomea katika maktaba hiyo wakati wa ziara yake Pemba.
Mhe Riziki akitowa maelekezo kwa mwanafunzi huyo wakati akijisomea katika maktaba hiyo akifanya kazi zake ya Skuli. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.