Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika Mkutano wa siku moja kuhusu Programu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kuhusu utekelezaji waProgramu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika Mkutano wa siku moja kuhusu Programu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kuhusu utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
No comments:
Post a Comment