Habari za Punde

Dk Shein akutana na Uongozi wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugona Uvuvi   kuhusu  utekelezaji waProgramu ya   Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugona Uvuvi   kuhusu  utekelezaji waProgramu ya   Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
 Baadhi ya Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugona Uvuvi  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao katika  Mkutano wa siku moja kuhusu Programu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika  Mkutano wa siku moja kuhusu Programu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.