Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto ukimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipoingia katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika mkutano kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Wizara ya Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto, (haupo pichani ) kuhusu utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,leo wakati wa mkutano wa siku moja uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto,Bi.Fatma Gharibu Bilali akisoma baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja uliofanyika leo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Bi.Mauwa Makame Rajab na Mshauri wa Rais Uchumi Mzee Abrahman Mwinyi Jumbe,(kushoto), [Picha na Ikulu.]
07/09/2016.
Mkurugenzi wa Ajira katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto Nd,Ameir Ali Ameir alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,katika mkutano wa siku moja uliofanyika ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) Bi,Fatma Iddi Kamishna wa Kazi,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
No comments:
Post a Comment