Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wanaosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa wakitembelea Sober House za Pemba.
Baadhi ya vijana wa Sober House wakiwasikiliza wajumbe wa Baraza la Wawakilishi walipowatembelea huko kisiwani Pemba
Viongozi wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wakikagua mradi wa TASAF wa Skuli ya Chekechea ya Shehia ya Junguni Jimbo la Gando.
No comments:
Post a Comment