Habari za Punde

Dk Shein atembelea Ofisi za gazeti la Zanzibar Leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa Gazeti la   Zanzibar leo Nd,Ramadhan Makame (kushoto) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja,​(wa kulia) katibu Mkuu wa Wizara ya Habar,Utalii,Utamaduni na Michezo,{Picha na Ikulu} 19/09/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chumba cha watayarishaji wa Gazeti la   Zanzibar leo Nd,Rabia Bakari (katikati) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja,​(kulia) Mhariri Mkuu wa Gazeti la   Zanzibar leo Nd,Ramadhan Makame,[Picha na Ikulu} 19/09/2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Gazeti la   Zanzibar leo wakati alipofanya ziara ya ghafla ya kutambelea katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja,​{Picha na Ikulu} 19/09/2016. ​

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habar,Utalii,Utamaduni na Michezo,Nd Omar Hassan Omar akitoa maelezo kwa 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia){Picha na Ikulu} 19/09/2016. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.