Habari za Punde

Dk Shein akutana na Watendaji Wizara ya Habari,Utalii,​U​tamaduni na Michezo Ikulu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,​U​tamaduni na Michezo kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,​U​tamaduni na Michezo kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar akisoama baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana, [Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
 Mkurugenzi wa ZBC Tv Ng,Aiman Duwe akitoaufafanuzi mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo  uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,, [Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
 Baadhi ya  Viongozi wa Idara za Wizara ya ​Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo  kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.
Mshauri wa Rais Utamaduni Mhe,Chimbeni Kheir (kushoto) akichangia wakati wa Mkutano wa siku moja wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo  uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,uliofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, (kulia) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Chumu Kombo Khamis,​
[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.