Habari za Punde

Jumuiya ya Maradhi Yasioambukiza Zanzibar (ZNCDA) na Kikundi cha Obama Fitness Yafanya Matembezi ya Kushajihisha Jamii Kufanya Mazoezi

Brassband ya Jeshi la Magereza Zanzibar likiongoza matembezi yawanamichezo, kushajihisha Jamii kufanya mazoezi.
Wanamichezo wakiwa katika matembezi ya kushajihisha Jamii kufanya mazoezi yaliyoanza Mazizini na kumalizia uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
Naibu Spika wa (BLM) Mgeni Hassan Juma ambae ni mgeni rasmin katika matembezi yawanamichezo akizungumza na vikundi vya mazoezi vilivyoshiriki matembezi hayo.
Kocha wa mazoezi kutoka kikundi cha Obama Fitness Club Haji Golo akiongoza mazoezi ya wanavikundi baada ya maandamano yaliyoanza Mazizini na kumalizikia uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
Kocha wa mazoezi kutoka kikundi cha Obama Fitness Club Haji Golo akiongoza mazoezi ya wanavikundi baada ya maandamano yaliyoanza Mazizini na kumalizikia uwanja wa Amani Mjini Zanzibar.
Naibu Spika wa (BLM) Mgeni Hassan Juma (alievaa flana ya bluu) na Meneja wa Jumuiya ya maradhi yasiyo ambukiza Zuhura Saleh Amour (kulia) wakifanya mazoezi.
Mgeni rasmin Naibu Spika wa (BLM) Mgeni Hassan Juma (alievaa flana ya bluu) katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya maradhi yasiyo ambukiza Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.