AFISA Mipango wa Kituo Cha Huduma za Sheria Zanzibar
ofisi ya Pemba, Mohamed Hassan Ali, akiwasilisha mada ya sheria katika mkutano
wa kuelimisha haki za kiraia na sheria zinazowahusu wananchi, huko katika
shehia ya Kisiwani kwa Binti Abeid Wilaya ya Wete.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MRATIB wa Kituo cha Huduma za sheria Zanzibar Ofisi
ya Pemba, Fatma Khamis Hemed akiwasilisha mada ya sheria ya Mzanzibari Mkaazi,
kwa wananchi wa Kisiwani kwa binti Abeid Wilaya ya Wete, katika mkutano wa
kuelimisha haki za kiraia na sheria zinazowahusu wananchi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AFISA Mipango wa kituo cha Huduma za sheria Zanzibar
ofisi ya Pemba, Halfan Amour Mohamed, akiwasilisha mada ya sheria ya
kitambulisho cha Taifa, kwa wananchi wa kisiwani kwa Binti Abeid Wilaya ya
Wete, katika mkutano wa kuelimisha haki za kiraia na sheria zinazowahusu
wananchi.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
No comments:
Post a Comment