Friday, September 23, 2016

Mradi wa Accra Kwa Uhifadhi wa Mji Mkongwe Zanzibar.

Vijana wa Mradi wa ACCRA wakiwa katika harakati za kuyafanyia matengenezo majengo ya Mji Mkongwe ili kuimarisha majengo hayo katika hifadhi yake na kuzidi kuvutia katika haiba yake ya zamani kama walivyokutwa vijana hawa wakiufanyia ukarabati mlango wa Zanzibar katika mtaa wa Hamamni.