MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, September 29, 2016

Mwandishi wa Habari Muandamizi wa Zanzibar Leo Pemba Awaasa Wanafunzi Waliomaliza Mafunzo Yao ya Vitendo katika Gazeti la Zanzibar leo Pemba.


Msaidizi Mkuu wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar, Zanzibarleo Ofisi ya Pemba, Haji Nassor Mohamed, akizungumza na wafanyakazi wa ofisi ya Pemba na wanafunzi waliomaliza mafunzo yao ya vitendo katika
ofisi hiyo katika hafla ya kuwaaga wanafunzi hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)