Sunday, September 4, 2016

Samaki Aina ya Papa Mnadani Marikiti Darajani.

Wananchi wakiangalia samaki aina ya Papa akitengenezwa katika Marikiti Kuu ya Darajani baada ya kufikishwa hapo kwa ajili ya kupigwa mnada kwa Wachuu, Samaki huyu amevuliwa katika bahari ya Kizimkazi Zanzibar.