Thursday, September 22, 2016

Utalii Zenj

Wageni mbalimbali wanaotembelea Zanzibar hufika katika Marikiti Kuu ya Darajaji kujionea moja ya majengo ya historia katika Zanzibar kutokana na ujenzi wake wa wakati huo wa enzi za mababu  hadi leo jengo hilo huvutia watu wengi wanaofika Zenj.