Habari za Punde

Waziri wa Habari Zanzibar Mhe Rashid Ali Afungua Kongamano la 12 la Kimataifa la Wanafunzi Wanaosoma Kiswahili Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akiwa na Viongozi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Afrika Wanaosoma Kiswahili  wakisimama wakati ukipigwa Wimbo wa Mataifa ya Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.